Saturday, July 14, 2012

ATLETICO YAICHAPA YANGA 2-0 KAGAME



Timu ya Atletico ya Burundi imeifunga 2-0 timu ya Yanga ya Tanzania katika mechi ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Kagame katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Magoli yote yamefungwa kipindi cha pili mnamo dakika ya 85 na 90 na Didier Kavumbagu (jezi namba 2 mgongoni).

Huu umekuwa si mwanzo mzuri hasa kwa kocha mpya Tom Saintfiet.

No comments:

Post a Comment