Michezo ya robo fainali ya mashindano ya kombe la Kagame zinataraji kutimua vumbi kuanzia leo mchana ambapo timu ya APR ya Rwanda na inashuka dimbani katika uwanja wa taifa kuumana na URA ya Uganda.
Mchezo wa pili utawakutanisha Mafunzo ya Zanzibar na mabingwa watetezi wa kombe hilo Yanga
No comments:
Post a Comment