Wednesday, July 18, 2012

URA YAINGIA ROBO FAINALI KOMBE BAADA YA KUTOA KIPIGO CHA 3-1 KWA AS VITA

Alex Isabirye - Kocha wa URA

Timu ya soka ya URA inayoshiriki mashindano ya CECAFA ya kombe la Kagame imejipatia nafasi katika mechi za robo fainali baada ya kuicharaza timu ya AS Vita mabao 3-1. URA iliifunga timu Simba 2-0 katika mechi yao ya kwanza na hivyo ina pointi 6 na kuingia moja kwa moja robo fainali. Mechi za robo fainali zinatarajia kuanza Julai 23 wiki ijayo.

No comments:

Post a Comment